Na ye ni mwanadamu, na dunia tunapita
kama kupata kwa zamu, ooh zamu, yangu itafikaa
siwezi kana damu, kesho wataja nizika
ila ningependa afahamu
haya mateso aloniipa
mmh. ! tena mwambieni
aloninyima mimi, ndio kampa
kupata foleni, nasubiri yangu mimi, hata icheleweeh
ooh ooh ooh
sina furaha naigiza ilimradii, watoto wasijihisi vibaya
huyu mdogo anauliza eti daddy
mama ameihama kaya
cha kujibu sina nabaki tu kusema
atarudii, atarudi mama
atarudi, anawapenda sana
atarudi, atawaletea zawadi
atarudi, eeh atarudi mama
atarudi, atarudi mama
atarudi, anawapenda sana
atarudi, atawaletea zawadi
atarudih